![]() |
Mwanafunzi Wanaoshiriki Mafunzo hayo Wakifanya kazi za makundi |
![]() |
Mwezeshaji wa Mafunzo Kutoka UNESCO, Rose Haji Mwalim, akifuatilia Kwa umakini Mafunzo hayo ya Elimu ya Afya ya Uzazi. |
![]() |
Mwanafunzi,Wazazi na Walimu Wanaoshiriki Mafunzo hayo Wakifanya kazi za makundi |
![]() |
Mwanafunzi Wanaoshiriki Mafunzo hayo Wakifanya kazi za makundi |
![]() |
Mmoja wa Wawezeshaji wa Mafunzo hayo Kutoka UNESCO,Linda, Akiagana na washiriki wa mafunzo tayari kurejea Dar es salaam |
![]() |
Mwanafunzi Wanaoshiriki Mafunzo hayo wakiendelea na mafunzo
huku wakifurahia Jambo kutoka kwa Mwezeshaji. (PICHA ZOTE NA GASPARY CHARLES)
|
No comments:
Post a Comment