Sunday, 27 January 2019

INTERNEWS YAWANOA WAANDISHI HABARI ZA KIJAMII PEMBA

WAANDISHI wa habari za kijamii
wametakiwa kutumia nafasi walizonazo kuandika habari zinazozigusa jamii ikiwa
ni pamoja utoji wa elimu ya kuhamasisha wananchi kulipa kodi kwa maendeleo ya
taifa.

#SautiYaMicheweni, #Micheweni #Pemba #Zanzibar

Ungana nasi kwenye mitandao ya kijamii

No comments:

Post a Comment