Header Ads

PICHA: DC Micheweni alivyoingilia kati Zoezi la Upigaji Dawa ya Malaria Baada ya Diwani kutaka Kulikwamisha

Mkuu wa wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini PEMBA Salama Mbarouk Khatib akihodisha Nyumbani kwa Diwani wa Wadi ya Chimba Wilayani humo ambae hakutaka kupigiwa Dawa ya Malaria zoezi linaloendelea Wilayani Humo.
Mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib (kulia), Kaimu afisa Mipango wilaya ya Micheweni  Hamad Othman, (wakwanza kushoto) na msimamizi wa Upigaji dawa wilayani humo, Khamis  wakihodisha Nyumbani kwa Diwani wa Wadi ya Chimba Wilayani humo ambae hakutaka kupigiwa Dawa ya Malaria zoezi linaloendelea Wilayani Humo.
: Mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib akiwaongoza wapiga dawa mjumbani katika nyumba ya diwani wa wadi ya chimba.
: mkuu  wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib akijibizana na diwani ya wadi ya chimba    Sidi Salehe Salim   ambae hakutaka nyumba yake kupigwa dawa ya malaria.
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Micheweni akijibizana na diwani ya wadi ya chimba    Sidi Salehe Salim   ambae hakutaka nyumba yake kupigwa dawa ya malaria.
Wapiga dawa majumbani wakizungumza na mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib baada ya kumaliza zoezi la upigaji dawa katika shehia ya Chimba.
PICHA ZOTE NA ALI MASOUD KOMBO - MICHEWENI PEMBA

No comments