MKUU WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA ATAKIWA KUWACHUKULIA HATUA WALIMU WATORO NA WANAOCHELEWA KAZINI
PEMBA
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein amemuagiza mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba kufanya ziara katika shule za serikali ili kuwabaini walimu watoro na wachelewaji kazini na kumjulisha waziri wa elimu kuwafuta kazi kwani muda wa kubembelezana umekwisha.
Rais aliyasema hayo wakati alipokua akiweka jiwe la msingi la skuli ya chimba msingi iliyopo wilaya ya micheweni mkoa wa kaskazini pemba.
Post a Comment