Kamilisheni Miradi Kabla ya Sherehe za Mapinduzi- RC Kas PEMBA
Wasimamizi Wa Miradi Ambayo Itazinduliwa , Kufunguliwa Na
Kuwekewa Mawe Ya Msingi Wakati Wa Sherehe Za Mapinduzi Ya Zanzibar Wametakiwa
Kuikamilisha Kabla Ya Tarehe Iliyopangwa .
Mkuu Wa Mkoa Wa Kaskazani Pemba Mhe Omar Khamis Othman Ameyasema
Hayo Wakati Wa Ziara Yake Ya Kuikagua Miradi Hiyo Na Kuelelezea Kuridhishwa Na
Kasi Ya Utekelezaji Wa Miradi Hiyo .
Amesema
Pamoja Na Kasoro Ndogo Ndogo Ambazo Zimeonekana , Lakini Serikali Ya Mkoa
Imeridhishwa Na Jinsi Miradi Hiyo Inavyotekelezwa.
Aidha Ametumia Fursa Hiyo Kuwataka Madiwani Kuwahamasisha
Wananchi Kujitokeza Kwa Wingi Wakati Wa Sherehe Za Ufunguzi ,Uzinduzi Na
Uwekaji Wa Mawe Ya Msingi Kwenye Miradi Hiyo .
Nao Wasimamizi Wa Miradi Hiyo Wameahidi
Kukamilisha Kasoro Ambazo Zimeonekana Kwa Kipindi Kifupi
Post a Comment