Atupwa Jera kwa Kubaka,Kutorosha Mtoto PEMBA

Mahakama hiyo chini ya hakimu MAKAME
MSHAMBA SIMGENI na mwendesha mashtaka kutka ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka wa
serikali RAMADHAN SULEIMAN RAMADHAN imemtia hatiani kijana huyo kwa kosa la
kwanza la kutorosha na kumuhukumu chuo cha mafunzo kwa kipindi cha mwaka mmoja
.
Aidha mahakama hiyo imetia hatiani
kijana huyo kwa kosa la pili na kubaka na kumtaka atumikie chuo cha
mafaunzo kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kumtaka alipe faini ya shlimgi
laki tatu akishindwa aongezewe miezi sita .
Hata hivyo kwa mujibu wa hakaimu MAKAME
MSHAMBA SIMGENI ni kwamba adhabu hizo zitakwenda sambamba .
Redio jamii imezunzgumza na mmoja wa
wanaharakatai ASIYA SHARIF na kuelezea kuridhishwa na uamuzi wa mahakama hiyo
na kuiomba pia jamii kushiriki katika kupiga vita matendo ya udhalilishaji.Na Massanja Mabula
Post a Comment