CHADEMA yajipanga kuhamasisha Michezo Pemba

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA)Kisiwani Pemba kimeanzisha mashindano ya mpira wa miguu kupitia
majimbo yote ya uchaguzi.
Akizungumza na michezo ya Redio jamii Micheweni Hamis Issa Muhammed katibu
wa CHADEMA kanda ya pemba amesema katika kisiwa cha pemba kumekuwa na vijana
wengi ambao wana uwezo mkubwa wakuonesha vipaji katiaka anga za soka.
Amesema kupitia Mbunge wa viti maalum wa chadema
Zainab Mussa Bakar kwa makusudi wameamua kuanzisha mashindani hayo hapa
anaelezea lengo la michuano hiyo.
Amesema kwa sasa michezo nikama ajira kwani
hivisasa ulimwenguni kote suala la michezo limetiliwa nguvu ambapo baadhi ya
vijanatayari wameshafanikiwa katika soka.
Post a Comment