Header Ads

Wizara ya Ardhi Simamieni Zoezi la Upimaji wa Eneo la Ofisi ya Makamo wa Pili Pemba

Image result for Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Makamu Wa Pili Mhe Mohammed Aboud Mohammed 
Pemba
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Makamo Wa Pili  Mhe Mohammed Aboud Mohammed Ameitaka Wizara Ya Ardhi Kusimamia Zoezi La Upimaji Wa Eneo Amalo Linatarajia Kujengwa Ofisi Ya Makamo Wa Pili Kisiwnai Pemba .

Amesema Katika Upimaji Huo Ni Vyema Ukazingatia Zaidi Uwepo Na Maeneo Ya Huduma Za Kijamii Ikiwemo Barabara Ambayo Itakuwa Ni Kiunganishi Cha Wananchi Wanaohitaji Kupatiwa Huduma Kutoka Katika Ofisi Hiyo.

Akizungumza Baada Ya Kulitembelea Eneo Hilo , Mhe Abodu Ametaka Kuboreshwa Kwa Barabara Ya Gombani - Pondeani Kwa Kuitanua Ili Iweze Kutumiwa Na Wananchi Kwa Shuhuli Za Kimajii.

Aidha Mhe Aboud Ameagiza Eneo Hilo Lipime Na Kutengwa Kwa Maeneo Ya Makaazi Pamoja Na Kutaka Kusitishwa Kwa Shughuli Za Ujenzi Wa Nyumba Za Makaazi Hadi Upimaji Utakapokamilika.

Ujenzi Wa Ofisi Ya Makamo Wa Pili Wa Rais Kisiwani Pemba Ni Utekelezaji Wa Agiza La Mhe Rais Wa Zanzibar Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein .

No comments