PICHA: Mafunzo ya UNESCO ya Jinsia, Afya ya Uzazi na Ushiriki wa Wanafunzi Katika Uandaaji wa Vipindi Vya Redio Yakiendelea
![]() |
| Wanafunzi wanaoshiriki mafunzo hayo wakifuatilia kwa makini Mafunzo hayo kutoka kwa Mwezeshaji |
![]() |
| Baadhi ya washiriki wakizidi kufuatilia mafunzo |
![]() |
| Picha ya Pamoja ya Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib pamoja na wanafunzi wanaoshiriki katika mafunzo hayo baada ya Kufunguliwa Rasmi |
![]() |
| Kaim Afisa Elimu Wilaya ya Micheweni Mwalim Bakari Khamis Juma akiwasihi Washiriki kuyazingatia mafunzo hayo baada ya kufunguliwa na Mkuu wa Wilaya. (PICHA ZOTE NA GASPARY CHARLES). |








Post a Comment