Header Ads

PICHA: Mwendelezo wa Mafunzo ya UNESCO kuwajengea uwezo Wanafunzi kuhusu Elimu ya Afya ya Uzazi na Ushiriki katika Uandaaji wa Vipindi vya Redio

Wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya UNESCO ya  Kuwawezesha Uelewa wa Elimu ya Afya ya Uzazi na ushiriki katika Uandaaji wa Vipindi vya Redio,wakiwa wanajadili kazi za makundi (Group Discussions) wakati wa Mafunzo hayo Leo Jumanne Desemba 19.
Wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya UNESCO ya  Kuwawezesha Uelewa wa Elimu ya Afya ya Uzazi na ushiriki katika Uandaaji wa Vipindi vya Redio,wakiwa wanajadili kazi za makundi (Group Discussions) wakati wa Mafunzo hayo Leo Desemba 19.

Wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya UNESCO ya  Kuwawezesha Uelewa wa Elimu ya Afya ya Uzazi na ushiriki katika Uandaaji wa Vipindi vya Redio,wakiwa wanajadili kazi za makundi (Group Discussions) wakati wa Mafunzo hayo Leo Desemba 19.HILI LILIKUWA KUNDI NA. 2
Mshiriki wa Mafunzo hayo Akiwasilisha Masuala yaliyojadiliwa katika kazi za Makundi
Mshiriki wa Mafunzo ambae pia ni mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwakilisha Kikundi chake kuwasilisha kile walichokijadili katika Makundi yao
Mwezeshaji wa MAFUNZO hayo Suleiman Fakhi Haji akielezea kuhusu umbile la Ndani la Uzazi wa Mwanamke

No comments