Header Ads

SIKU YA 3. Mafunzo ya UNESCO Micheweni ya Elimu ya afya ya Uzazi na Elimu kwa Mtoto wa Kike

Mwezeshaji wa mafunzo ya Elimu ya afya ya Uzazi na Elimu kwa mtoto wa kike yanayoendeshwa na UNESCO, Sulemani Faki Haji,akitoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa washiriki wa Mafunzo Hayo. Hapo akielezea juu ya Umbile la uume wa Mwanaume
Mwanafunzi Wanaoshiriki Mafunzo hayo Wakifanya kazi za makundi
Mwezeshaji wa Mafunzo Kutoka UNESCO, Rose Haji Mwalim, akifuatilia Kwa umakini Mafunzo hayo ya Elimu ya Afya ya Uzazi.
Mwezeshaji wa mafunzo ya Elimu ya afya ya Uzazi na Elimu kwa mtoto wa kike yanayoendeshwa na UNESCO, Sulemani Faki Haji,akitoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa washiriki wa Mafunzo Hayo. Hapo akielezea juu ya Umbile la uume wa Mwanaume
Mwanafunzi,Wazazi na Walimu Wanaoshiriki Mafunzo hayo Wakifanya kazi za makundi

Mwanafunzi Wanaoshiriki Mafunzo hayo Wakifanya kazi za makundi
Mmoja wa Wawezeshaji wa Mafunzo hayo Kutoka UNESCO,Linda, Akiagana na washiriki wa mafunzo tayari kurejea Dar es salaam
Mwanafunzi Wanaoshiriki Mafunzo hayo wakiendelea na mafunzo huku wakifurahia Jambo kutoka kwa Mwezeshaji. (PICHA ZOTE NA GASPARY CHARLES)

No comments