Wananchi toeni taarifa za wanao jihusisha na Magendo- DC MICHEWENI
Wananchi wa
kiji cha maziwangombe wilaya ya Micheweni
mkoa wa kaskazini pemba wametakiwa
kutowa taarifa ya watu ambao wanajihusisha na magendo ya karafu na magendo ya
mafuta
kauli
hiyo
imetolewa na mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatibu wakati
alipokuwa akizungumza na wananchi hao katika mwendelezo wa mikutano ya
uwazi
katika shehia ya maziwangombe
amesema
wananchi watakapokuwa na mashirikiano na afsi ya mkuu wa wilaya hiyo watapata
kuwa na maendeleo na kuondokana na tegemezi katika sehemu nyengine
salama
amesema amesikitishwa na baadhi ya watu ambao wanawarejesha nyuma juhudi ambazo
zinachukuliwa na serekali yao kwa kuleta
maendeleo katika maeneo yao
Hata hiyo
mkurugenzi wa halimashauri ya wilaya hiyo
Hamad Mbwana Shehe amesema wapo
katika ofsi hiyo kuweza kuwasaida wananchi
katika maswali ya kimaendeleo
Amesema wananchi
wa maziwangombe watakuwa na miradi ya kimaendeleo basi halimashauri itasaidia
ili kuweza kuwanufaisha na kupata
maendeo yatakayo leta mabadiliko
ndani wialaya
Naye mwalimu
omari mkaazi wa kijiji hicho cha
maziwang’ombe ameseama mkuu wa wilaya ya
Micheweni ni kiongozi wa kuigwa na maafsa wake ili kuweza kumsaidia majukumu
yake kwa kuwasaidia wananchi wake
Amesema toka alipokuwa katika kijiji hicho hajawahi kuona
kiongozi kama huyo kwenda katika shehia na kuwasikiliza wananchi matatizo yao
Omari amesema yeye na wananchi wa shehia ya maziwang’ombe
wako tayari kushirikiana pamoja ili kuweza kuleta maendeleo kwa pamoja na kumtaka mkuu huyo wa wilaya kuongeza kugu
kwa watendaji wake kwani bado wanafanya
kazi kwa mazoeya
Hamadi Juma
amesema wameanza kupata matumaini makubwa ya kupata maendeo kutoka kwa wananchi pamoja na mkuu wa wilaya yao
kufanya mazungumzo mara kwa mara na
kueleza matatizo yao
Ase jitahidini kuchapa kwa usahihi....mjue hizi habari tunazipata kutoka sehemu mbali mbali duniani! Watu wakiwaoneni ivi,, mnajidhalilisha na kutudhalilisha sisi wadau wenu na wanfamilia wenu.... Nashauri kuajiri watu wenye maarifa na weledi wa kiuandishi sio watu wa kujuana,, mfano angalia hata katika matangazo yenu mubashara katika vipindi vya redio... bado kuna changamoto mzito sana....
ReplyDeleteMtu hata kusoma kiswahili hajui! N a huenda huyohuyo mnampa kazi ya kuchapa makala au taarifa katika pages zenu! NI aibu,, jihadharisheni....
All in all ahsanteni kwa taarifa zenu...Jitahidini kwani changamoto na kukosolewa ni msingi mkuu wa maendeleo..
Hussein H Ali
Maziwang'ombe