Ahukumiwa Miaka Mitano Jera kwa Kumvua Msichana wa Miaka 11 PEMBA

Hamad
Omar Hamad Mkaazi Wa Kiungoni Ambaye Anaendelea Kutumikia Adhabu Ya Miaka
Mitano Jela Aliyohuumiwa Na Mahakama Ya Mkoa , Leo Hii Ameongezewa Adhabu Na
Mahakama Ya Wilaya .
Mbele
Ya Hakimu Wa Mahakama Hiyo Abdalla Yahya Shamhuni , Mwendesha Ashtaka Kutoka
Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Mashataka Wa Serikali Mohammed Ali Amesema Kuwa Siku Ya
Tukio Huko Kiungoni Hamad Alimvua Nguo Za Ndani Msichana Mwenye Umri Wa Miaka
11.
Kbla
Ya Hakima Kusoma Huku Hiyo , Mwendesha Mashtaka Ameiomba Mahakama Kutoa Adhabu
Kali Kwa Mtuhumiwa Kwani Amekuwa Ni Mzoefu Wa Kutenda Matendo Hayo .
Post a Comment