Baraza la manispaa lajidhatiti kusimamia maslahi ya Wafanyakazi wake
Akizungumza na Vyombo vya habari amesema kupatikana kwa mishahara na
maslahi kwa wakati itaweza kuongeza nguvu kwa wafanyakazi kufanya kazi kwa
bidii kwani hakuna sababu ya kucheleweshewa mishahara yao kutokana na
hali ya ukusanyaji wa mapato kwasasa inaridhisha.
Amesema mapato yanayokusanywa na watendaji wa baraza la manispaa
mjini pamoja na halmashauri zake yanakidhi kuwalipa
wafanyakazi pamoja na kusaidia katika huduma nyengine za kijamii katika
Serikali
Post a Comment