NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na
mwalimu mkuu wa skuli ya Maandalizi Junguni, Nusura Hamad iliyojengwa na
Tasaf, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa
Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya
karatasi za kusomeshea wanafunzi katika skuli ya maandalizi Junguni
Wilaya ya Wete, iliyojengwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania
(Tasaf), wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa
Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja
ya fanicha zilizowekwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania (Tasaf)
katika skuli ya Maandalizi ya Junguni, wakati alipokuwa katika ziara
yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya
Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk:Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na
watengenezaji wa Mazulia ya Usumba katika kikundi cha Jiendeleze kwa
maisha bora kilichopo Junguni Wilaya ya Micheweni, wakati alipokuwa
katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020
katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU
Katibu Mkuu CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na
wananchi na wanachama wa kikundi cha Jiendeleze kwa maisha bora
kinachojishuhulisha na utengenezaji wa mazulia ya Usumba, huko Wingwi
Njuguni Wilaya ya Micheweni mkoa wa wa kaskazini Pemba, wakati alipokuwa
katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020
katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKURUGENZI
wa Idara ya Uratibu shuhuli za Serikali kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili
wa Rais, Khalid Bakari Amran akitoa ufafanuzi juu ya mipango mbali mbali
ya Tasaf kwa mwaka 2018, kwa wananchi wa junguni Wilaya ya Micheweni
wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya
CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
Post a Comment