Jamii yaaswa kutokimbilia kwa Waganga wa Kienyeji
Wito umetolewa
kwa jamii kuacha kukimbilia kwa waganga wa jadi bali wawatumie wataalamu kwa
ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao.
Mkuu wa
kitendo cha damu pemba Dr. Abdi Kassim Hamd ametoa wito huo huko ngerengere
jeshini wilaya ya chake chake wakati akizungumza na waumini wa kanisa lasabato
kwenye zoezi la uchangiaji wa damu .
Akizungumza kwenye
zoezi la uchangiaji damu lililofanyika vitongoji jeshini mkuu wa kitengo cha
damu pemba dr abd kassim hamad amesema waganga wajadi wanatumia udhaifu
wa baadhi ya wananchi wakati wa tatizola damu.
Nae mchungaji
wa kanisa la sabato pemba Paskali Mtwana ameishauri jamii
kujitokeza kuchangia damu na kusaidia mahitaji ya
binaadamu.
Nao wachungiaji
wa damu wamesema suala la uchangiaji wa ni sadaka hivyo wanapaswa
kushiriki zoezi hilo.
Post a Comment