Header Ads

Marais wa China na Austria wakutana Beijing



Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na rais Alexander Van der Bellen wa Austria ambaye yuko kwenye ziara yake ya kwanza nchini China, na kuhudhuria mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao.
Viongozi hao wawili wamekubaliana kuanzisha uhusiano wa wenzi wa kimkakati na kirafiki kati ya nchi zao, na kukuza ushirikiano ufikie ngazi mpya.
CHANZO: CHINASWAHILI

No comments