PICHA: Mwakilishi Jimbo la Micheweni Alivyoshiriki zoezi la uwekaji wa Kifusi katika Jengo la Ofisi ya Tawi la CCM Maziwang'ombe
![]() |
Mwakilishi wa jimbo la Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Shamata Shaame Khamis akizungumza na Vijana mara baada ya zoezi la utoaji wa Kifusi katika Jengo la Ofisi ya CCM Tawi la Maziwang’ombe kukamilika. |
![]() |
Katibu wa Tawi, Khatib Said Juma akiendela na Zoezi la Usafishaji wa Tawi hilo. |
![]() |
Katibu wa UVCCM Wadi ya Kiuyu Maziwang’ombe,
Omar Mkasha Sharif akishiriki zoezi la uwekaji wa Kifusi katika Jengo hilo
|
![]() |
Baadhi ya Vijana
walioshiriki Zoezi hilo wakiendelea na Shughuli
|
![]() |
Mwakilishi wa jimbo hilo, Mhe. Shamata Shaame Khamis akishiriki
zoezi pamoja na Vijana
|
![]() |
Mwakilishi wa jimbo hilo, Mhe. Shamata Shaame Khamis akiwa na
Vijana mara baada ya zoezi la utoaji wa Kifusi katika Jengo la Ofisi ya
CCM Tawi la Maziwang’ombe kukamilika tayari kwa Mazungumzo.
|
![]() |
Mwenyekiti wa UVCCM wa Tawi hilo, Juma Mbarouk Khamis, akimkaribisha Mwakilishi huyo kuzungumza na Vijana mara baada ya Zoezi la uwekaji wa Fusi katika Jengo hilo kukamilika. |
![]() |
Baadhi ya Vijana walioshiriki Zoezi hiulo wakimsiukiliza Mwakilishi
wao wakati akizungumza nao
|
(PICHA ZOTE NA GASPARY CHARLES- MICHEWENI REDIO)
Post a Comment