TMA yatoa Tahadhari kubwa Hali ya Hewa, Unguja, Pemba ni Miongoni
Mamlaka
ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa vipindi vya mvua kubwa
katika maeneo yote ya pwani kuanzia jana usiku mpaka Aprili 16 mwaka huu.
TMA
imewashauri wakazi wa maeneo yaliyotajwa kuchukua tahadhari stahiki na
kuendelea kufuatilia taarifa pamoja na tahadhari zinazotolewa.
Angalia hapa chini kwa
taarifa kamili
Post a Comment