Mabadiliko ya UEFA msimu 2018/19
Nchi nne England,
Spain, Germany na Italy zitaruhusiwa team nne kwenda katika makundi. vilabu
vinne vya nchi hizi hazitacheza hatua ya mchujo hasa yule anayemaliza wa 4.
No
|
washirika
|
alama
|
idadi
|
1
|
Hispania
|
104.998
|
4
|
2
|
Ujerumani
|
79.498
|
|
3
|
Uingereza
|
75.962
|
|
4
|
Italia
|
73.332
|
|
5
|
Ufaransa
|
56.665
|
3
|
6
|
Urusi
|
50.532
|
Bingwa wa Uefa na Uropa wana nafasi ya kuingia UEFA moja moja. hata kama wamemaliza nje ya nafasi zinazowafanya kuingia moja kwa moja.
Kama bingwa wa Uefa atamaliza nje ya nafasi 4 za juu na inatoka katika zile timu za ranki ya kwanza ya UEFA basi timu za hizo nchi zitashiriki tano. Chelsea akafanikiwa kumtoa Liverpool nafasi 4 za lakini liverpool akashinda Uefa timu zitaenda tano.
Kama bingwa wa Uefa na uropa atakua nafasi 4 za juu, nafasi yake haitochukuliwa na nafasi ya tano kama awali ilivokua bali nafasi itaenda kwa nchi inayoshika nafasi ya saba kwa msimamo wa Uefa: kwa sasa ni Ureno
7 | Ureno | 49.332 |
---|
kwa mwaka ni Nchi moja tu inaruhusiwa timu zisizozidi tano. Kama timu mbili za nchi moja zitashinda Uefa na Europa na zikamaliza nje ya nafasi za juu basi nafasi ya nne katika ligi anaenda Europa
Mshindi Wa Europa akimaliza ndani ya top four au nje utaratibu huo unafuata pia. Timu zinakua nne au tano.
Sheria za Wachezaji
Mchezaji aliesajiliwa timu ingine ataruhusiwa kucheza(no cup tie) mfano wa Coutinho alipoenda Barca. Makocha wanaruhusiwa sub ya nne hatua za mtoano na sub inaruhusiwa mechi ikienda muda wa ziada. hata hivyo pia wameruhusu benchi kuweka wachezaji wa zaida mpaka 12 kutoka wachezaji 7 wa apo awali.
uandaaji
mwaka ujao UEFA fainali itachezwa Wanda Metapolitano uwanja unaotumika na Atletico Madrid.
Post a Comment